×
New!

Bayan Al Islam Encyclopedia Mobile Application

Get it now!

Maandalizi:

Nani alie ni umba ? Na kwa nini ? (Kiswahili)

Nani alie ni umba ? Na kwa nini ?. Maudhui zilizondani: 1. Maana ya Uisilamu. 2. Misingi mikuu ya Uisilamu:         - Kumuamini Allah Muumba wa kila kitu.         - Kuamini Mitume wote.         - Kuamini Vitabu vitukufu vyote.         - Kuamini Malaika.         - Kuamini Siku ya mwisho.         - Kuamini Kadari ya heri na ya shari. 3. Imani ya Uisilamu juu ya Isa mwana wa Maryamu. 4. Uisilamu si wa tabaka la watu maalumu, bali ni wa kila mtu. 5. Je kusilimu ni hiyari yake mtu? 6. Kusilimu ni vipi?

Play
معلومات المادة باللغة العربية