×

Laylatul-Qadr- Vipi Uweze Kuupata Usiku Huu? (Kiswahili)

Maelezo

Makala hii inazungumzia: Usiku wa cheo (Laylatul qadr) usiku huo ni bora kuliko miezi elfu moja, pia imezungumzia namna Mtume s.a.w alivyokua akijitahidi kufanya ibada katika kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhan.

Kupakua Kitabu

معلومات المادة باللغة العربية