×
New!

Bayan Al Islam Encyclopedia Mobile Application

Get it now!

Maandalizi: Salim Barahiyan

Majukumu Ya Kuamrisha Mema Na Kukataza Mabaya (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuamrishana mema na kukataza mabaya na nisababu ya kufanywa ummat muhammad kuwa bora na nisifa ya mtume (s.a.w)pia nisifa ya manabi wa allah (alayhimu ssalam).

Play
معلومات المادة باللغة العربية