×
Maandalizi: Qasim Mafuta

Msimamo Wa Uislam Kuhusu Jihadi Katika Njia Ya Allah (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kuhusu kupigana Jihadi katika njia ya Allah, na upambanuzi wake, na tatizo la waislam wengi kuto fatilia mambo kwa kina, na madhara ya Hamasa.

Play
معلومات المادة باللغة العربية