×
New!

Bayan Al Islam Encyclopedia Mobile Application

Get it now!

Maandalizi: Abubakari Shabani Rukonkwa

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 10 (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Aina na dalili za ucha Mungu, nakwamba miongoni mwa dalili za ucha Mungu ni kutumia kitabu cha Alllah na Sunna za Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa Muislamu kujiandaa na Akhera.

Play
معلومات المادة باللغة العربية