Mafungamani ya Shahada na Aina za Tawhiid
(Kiswahili)
Maandalizi: Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al-Uthaymeen
Description
Mada hii ni fatwa ambayo nimaswali aliyo yajibu Shaykh Muhammad ibn Saalih al-’Uthaymeen (Allah amrehemu) na swali nihili: Je shahada inakusanya vigawanyo vya Tawhid?.