Mada hii inazungumzia: Tofauti ya kuadhini na kukiqim swala, pia imeelezea umuhimu wa kuzijua sharti za swala ili kuswali kama inavyotakiwa.
Insaiklopidia ya Kielektroniki ya Mada zilizochambuliwa kwa ajili ya kuuelezea Uislamu na kuufundisha kwa Lugha Mbalimbali