Mada hii inazungumzia: Adhkari za baada ya swala zilizothibiti kwa Mtume (s.a.w), pia imeelezea adhkari baada ya swala ya Alfajiri na Maghribi.
Insaiklopidia ya Kielektroniki ya Mada zilizochambuliwa kwa ajili ya kuuelezea Uislamu na kuufundisha kwa Lugha Mbalimbali