×
Maandalizi: Yasini Twaha Hassani

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 57 (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa nyiradi zilizothibiti kwa Mtume (s.a.w) pia imezungumzia hatari ya kwenda kinyume na sunna za Mtume (s.a.w).

Play
معلومات المادة باللغة العربية