1. Mada hii inazungumzia ubora wa masiku kumi ya dhil hija kisha ameeleza kuwa Elimu ndio kibainisho cha halali na haramu na ndio sababu ya kumuabudu Allah kwa usahihi, na mtu asie kuwa na elimu ya dini anakuwa kama mfu. 2. Mada hii inakamilisha mada iliyo pita inaelezea msiba wa kuishi mwanamume na mwanamke bila kufunga ndoa, kisha ameeleza ubora wa kutafuta elimu.
Insaiklopidia ya Kielektroniki ya Mada zilizochambuliwa kwa ajili ya kuuelezea Uislamu na kuufundisha kwa Lugha Mbalimbali