1. Mada hii inazungumzia: Kwa mujibu wa Uislamu pamoja na mahji ya Ahlu Sunna wal Jamaa, Kusherehekea Maulidi hayakuwepo na ni Uzushi. 2. Mada hii inazungumzia: Nini maana ya Bidaa ( Uzushi ) kilugha na kisheria, pia imeelezea hatari ya Uzushi. 3. Mada hii inazungumzia: Maulidi ni Bidaa dhwalaalah (Uzushi na upotovu), pia imeelezea namna wazushi wasivyo na hoja na wanafuata matamamnio ya nafsi zao. 4. Mada hii inazungumzia: Uzushi wa kusherehekea Maulidi umenzishwa mwanzoni mwa karne ya sita.
Insaiklopidia ya Kielektroniki ya Mada zilizochambuliwa kwa ajili ya kuuelezea Uislamu na kuufundisha kwa Lugha Mbalimbali