×
Maandalizi: Qasim Mafuta

Bid’a ya Maulidi (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia: Namna watu wa Maulidi walivyo waelewa vibaya wana chuoni na kuwasingizia uongo. 2. Mada hii inazungumzia: Maulidi ni Bidaa kwasababu Mtume s.a.w hakufanya, kwahiyo kuacha kufanya Maulidi ni Sunna na kufanya ni Bidaa. 3. Mada hii inazungumzia: Tofauti kati ya Bidaa na Sunna, pia imefafanua maana Sunnat Hasanah. 4. Mada hii inazungumzia: Ukweli aliouzungumza Sheikhul Islam Ibn Taymiyah kuhusu Maulidi, na uzushi anaozushiwa. 5. Mada hii inazungumzia: Ibn Taymiyah hajesema kuwa Maulidi inafaa kama wanavyodai Wazushi ( Watu wa Bidaa ). 6. Mada hii inazungumzia: Uharamu wa kusikiliza Samai za Masufi, na wala haifai kujifunza kupiga zomari.

Play
معلومات المادة باللغة العربية