Mada hii inaelezea Misingi Minne ya Imamu Muhamad bin Abdul Wahab, Allah amrehemu, amelezea Msingi wa kwanza kwamba kuamini Rububiyah hakumfanyi mtu kuwa Muislam, na wa pili, kwamba Maquraishi walikuwa wakiabudu masanamu ili yawakuribishe kwa Allah.
Insaiklopidia ya Kielektroniki ya Mada zilizochambuliwa kwa ajili ya kuuelezea Uislamu na kuufundisha kwa Lugha Mbalimbali