×
Preparation: Yasini Twaha Hassani

Mipaka Maalum Ya Hijja Na Umra (Mi’qat) (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mipaka aina tano maalum ya Hijja na Umra, na yanayostahiki kufanywa sehem hizo, pia imezungumzia kafara ya mtu aliyepita Mi’qat bila ya kuhirimia au kuvaa ihram

Play
معلومات المادة باللغة العربية